News
HONGERA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Balozi Ali Idi Siwa (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (katikati) wakati wa ziara ya kikazi waliyoifanya na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako (hayupo pichani), ambapo walitembelea NSSF ikiwa ni moja wapo ya Taasisi iliyo chini ya Wizara hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba

