News
HUDUMA
Afisa Matekelezo Mwandamizi wa NSSF Mkoa Tameke, Hamisi Bakari akiwahudumia wanachama wakati wa kliniki maalumu iliyoandaliwa na Toyota Tanzania kwa wafanyakazi wake.
NSSF imetumia kliniki hiyo kuendelea kutoa Elimu kuhusu Hifadhi ya Jamii, mifumo ya kidijitali.
Kliniki hiyo inafanyika kwa mda wa wiki moja ikihusisha watoa huduma za kifedha.

