News
MAFAO YA MATIBABU

Afisa Matibabu Mkuu wa NSSF, Bw. Aloyce Limu akimpatia elimu mwanachama kuhusu mafao ya matibabu yanayotolewa na NSSF, namna ya kuandikisha wanachama na wategemezi wao kwenye mafao hayo pamoja na kutoa ufafanuzi wa huduma za matibabu zinazopatikana kupitia hospitali na vituo mbalimbali.