emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

​MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA YA FEDHA JIJINI MWANZA


MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA YA FEDHA JIJINI MWANZA

NSSF YAENDELEA KUWAHUDUMIA WANACHAMA NA WADAU

Afisa Utawala Mkuu wa NSSF Mkoa wa Mwanza Flora Ndutta (kushoto), akitoa huduma kwa wananchi waliofika katika banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma ya Fedha jijini Mwanza. (wa pili kushoto) ni, Mhasibu wa NSSF Mkoa wa Mwanza, Said Othman Mfuru.

NSSF inashiriki katika maonesho hayo kutoa elimu ya hifadhi ya jamii kwa sekta binafsi na sekta isiyo rasmi, matumizi ya mifumo ya TEHAMA, kusikiliza na kutatua kero za wanachama