News
NSSF TUNAENDELEA KUTOA ELIMU YA HIFADHI YA JAMII HUDUMA
Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata elimu ya hifadhi ya jamii katika banda la NSSF wakati wa Maonesho ya Wiki ya Vijana yanayoendelea katika Stendi ya Zamani, Babati Mkoani Manyara. Katika maonesho hayo NSSF inatoa elimu ya hifadhi ya jamii, kusajili wanachama wapya kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi, elimu kuhusu huduma za NSSF kidijitali, elimu kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Uwekezaji na elimu kuhusu mafao.

