News
NSSF YAPEWA TUZO YA SHUKRAN NA IIA
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umepokea tuzo ya shukrani kwa kuunga mkono na kushiriki katika mkutano wa mwaka wa wakaguzi wa ndani ulioandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani(IIA), mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha kuanzia tarehe 28 hadi 22 Septemba 2023.

