News
NSSF YATINGA FAINALI
Timu ya Mpira wa Kikapu ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi (NSSF) imefanikiwa kuingia hatua ya fainali kwenye mashindano ya SHIMMUTA 2025,baada ya kushinda 47- 45 dhidi ya timu ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam ( UDSM) katika mchezo uliopigwa tarehe 4 Desemba 2025 kwenye uwanja wa Bwalo la UMWEMA,Mjini Morogoro.

