News
CHETI CHA SHUKRANI
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapimduzi Zanzibar, Mhe. Tabia Maulid Mwita akimkabidhi Bw. Sebera Fulgence, Afisa Uhusiano Mkuu NSSF, cheti cha shukrani kwa niaba ya NSSF kwa udhamini wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali uliofikia tamati tarehe 29 Machi, 2023, JNCC Dar es Salaam.

