emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

Karibu tukuhudumie


Karibu tukuhudumie



NSSF tupo katika Maonesho ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA )yanayoendelea katika viwanja vya General Tyre, Njiro jijini Arusha.



Katika maonesho haya NSSF inatoa elimu ya hifadhi ya jamii, kusajili wanachama wapya kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi, elimu kuhusu huduma za NSSF kidijitali, elimu kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Uwekezaji na elimu kuhusu mafao.