emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

MKURUGENZI MKUU WA NSSF, AKUTANA NA SPIKA WA BUNGESpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba, ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, tarehe 15 Februari, 2024.


Pamoja na mambo mengine, Bw. Mshomba alimpongeza Mhe. Dkt. Tulia kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).