emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

Skimu ya Hifadhi ya Jamii Inakuhusu Hata Wewe


Wananchi mbalimbali wakipata elimu kuhusu umuhimu wa kujiunga na Skimu ya Hifadhi kutoka kwa Meneja wa Wananchi Waliojiajiri wa NSSF, Bi. Rehema Chuma. Elimu hiyo inalenga kuwahamasisha wananchi, hususan waliojiajiri, kujiunga na kujiwekea akiba kwa ajili ya usalama wa maisha yao ya sasa na ya baadaye.