emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

MHE. NDEJEMBI AKUTANA NA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA WAKUU WA TAASISI ZILIZOPO CHINI YA OFISI HIYO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Menejimenti ya ofisi yake na Wakuu wa Taasisi zilizopo chini ya ofisi hiyo Aprili 5, 2024, jijini Dodoma.
Aidha, katika kikao hicho Mhe. Ndejembi aliambatana na Naibu Waziri, Ofisi ya Wakuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi pamoja na Katibu Mkuu, Mhe. Mary Maganga.