News
NSSF Yaendelea Kutoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii kwenye Maonesho ya Madini Geita

Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata elimu ya hifadhi ya jamii inayotolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati wa Maonesho ya Nane ya Madini yanayoendelea kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, mkoani Geita.