News
NSSF YAINGIA FAINALI MCHEZO WA RIADHA
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umefanikiwa kuingia hatua ya fainali katika mchezo wa riadha, kipengele cha mbio za mita 400, kwenye Mashindano ya SHIMMUTA 2025 yaliyofanyika tarehe 3 Desemba katika Uwanja wa Jamhuri, mjini Morogoro.

