emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

​NSSF YAMFARIJI RAIS DKT. SAMIA KIZIMKAZI


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba, akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipomtembelea nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, kufuatia msiba wa mume wake, Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia tarehe 7 Septemba 2026.

Bw. Mshomba aliwasilisha salamu za pole kwa Mhe. Rais kwa niaba ya Wafanyakazi wa NSSF.