News
DIASPORA WAOMBWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUJIUNGA NA KUCHANGIA NSSF
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Masha Mshomba Akitoa salamu wakati wa kuzindua rasmi wa mfumo wa kusajili kidijitali diaspora wenye asili ya kitanzania (Diaspora Digital Hub), ambapo ametumia fursa hiyo kuwasihi diaspora waone fursa zilizopo kwa kujiunga na kuchangia katika Mfuko wa NSSF kwa ajili ya maisha yao ya sasa na ya baadaye.

