News
MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA NSSF ATEMBELEA BANDA LA MFUKO SABASABA

*MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA NSSF ATEMBELEA BANDA LA MFUKO SABASABA*
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF, Bw. Abdul Zuberi, ametembelea banda la NSSF katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) na kujionea huduma mbalimbali za Mfuko kwa wanachama na wananchi.