emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

ELIMU



Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu Mengele akimuhudumia mmoja wa wanachama aliyetembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakati wa maonesho ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi yanayoendelea viwanja vya General Tyre, Njiro Jijini Arusha