emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

KARIBU NSSF


Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF, Balozi Ali Idi Siwa (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha Mhe. Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (katikati) wakati wa ziara ya kikazi katika ofisi ya NSSF Makao makuu. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba