emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

​MICHEZO


MICHEZO: Kikosi cha timu ya mpira wa miguu cha NSSF kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya kikosi cha NSSF na BOT uliofanyika kwenye viwanja vya Uhuru Stadium ambapo mchezo ulimalizika kwa NSSF kuibuka na ushindi wa magoli 5 kwa 2. Mchezo huo wa kirafiki umefanyika leo tarehe 29/01/2022