News
NSSF YAIBUKA MSHINDI SEKTA YA HIFADHI YA JAMII
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeibuka mshindi wa kwanza katika Maonesho ya Kilimo na Biashara yaliyofanyika mkoani Rukwa na kupata tuzo ya kuwa mshindi wa jumla katika maonesho hayo. Meneja wa NSSF Mkoa wa Rukwa, Daudi Mhongole (kushoto) akikabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa, Gerald Kusaya.