emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

NSSF YAWAJENGEA UWEZO WAFANYAKAZI WAKE WA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANACHAMA WAKE (CRM)


Afisa TEHAMA wa NSSF, Josephine Swai, akiwasilisha mada kuhusu maboresho ya mfumo wa kushughulikia malalamiko kwa wanachama (CRM). Semina hiyo iliandaliwa na NSSF kwa wafanyakazi wake wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Baadhi ya Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakifuatilia mada kuhusu maboresho ya mfumo wa kushughulikia malalamiko kwa wanachama (CRM). Semina hiyo iliandaliwa na NSSF kwa wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.