emblem

The United Republic of Tanzania

National Social Security Fund (NSSF)

We Build Your Future

News

NSSF yazidi kuwafikia waajiri wa sekta binafsi


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Dkt. Rashid Chuwachuwa (katikati aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanya kazi wa NSSF Mkoa wa Mbeya mara baada ya kufunga mafunzo kwa waajiri wa sekta binafsi wa mkoa huo. Kulia aliyekaa ni Meneja wa NSSF Mkoa wa Mbeya, Deus Jandwa na kushoto aliyekaa ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Mhandisi Fredy Kipamila.