News
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NSSF LUSHOTO
.jpeg)
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umezindua rasmi Wiki ya Huduma kwa Wateja mwaka 2025 Lushoto , ikiwa na kaulimbiu isemayo “Kidijitali Tumeweza.”
Uzinduzi huo umeongozwa na Adolfrida Mulokozi Afisa msimamizi wa wilaya (DIO), Lushoto ambaye aliwaongoza Wafanyakazi wa Mfuko na Wateja katika maadhimisho hayo yaliyolenga kuhamasisha utoaji wa huduma bora kwa njia za kidijitali na kuongeza huduma karibu na wanachama.